Lori la mafuta likiwa limegongana na lori lingine na kupelekea lori moja kuacha njia na kwenda pembeni ya barabara ya Morogoro Dar ajali hiyo imetokea juzi tarehe 25 April 2015. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha
Lori likiwa nje ya barabara mara baada ya kugongana na lori lingine la mafuta.Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)