Pages

Tanzania women and youth development kufanya kongamano la wanawake

Tanzania women and youth development society tumeandaa kongamano la girls entrepreneur in Tanzania April 30 ukumbi wa peacock,na kujiunga katika forum hii ji laki moja kwa mwaka na unapata kujua mambo  na fursa za kibiashara ikiwemo masoko ya Africa mashariki na nje ikiwemo china,na hata kukutana na wafanyabiashara waliofanikiwa kama unataka kujiunga piga simu +255 713 403231 pia fika katika ofisi zetu Maalifa house second floor.
Mratibu wa Kongamano hilo, Sophia Hezron (kushoto), akiwa na wajasiriamali wenzake, Monica Joseph (katikati) na Nancy Sumari.
Sophia Hezron (aliyeshika Kipaza sauti) akizungumza na wadau hivi karibuni
Baadhi ya bidhaa zitakazooneshwa katika kongamano hilo
mmoja wa wajasiriamali akizungumza na waandishi wa Habari hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)