Pages

Je wajua kuhusiana na neno NEWS lilipotoka?

Endelea kuongeza ujuzi na ufahamu kwa kusoma je wajua segment ambayo inakupa uelewa zaidi juu ya maswala mbalimbali ndani ya Dunia kupitia Mtandao wako namba moja  wa Lukaza Blog.

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na neno NEWS likiwa na maana ya habari?

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa neno NEWS limetokana na Maneno North East West na South ikiwa na maana ya kupata habari pande zote nne za dunia?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)