Leo ndio siku iliyokuwa ikisubiriwa sana na wadau pamoja na wapenzi wa filamu Duniani kote kwaajili ya kuipokea filamu ambayo imekuwa ikipendwa sana tokea walipoanza kutoa tolea la kwanza hadi la sita na kuamua kutengeneza tolea la saba ambalo leo ndio wamelitoa rasmi duniani kote kuanzia kwenye majumba ya sinema duniani kote. Filamu ya Fast & Furious 7 ni muendelezo wa filamu za Fast & Furious 1 hadi 6 ambazo zimekuwa zikipendwa. Sasa Filamu hiyo ya Fast & Furious 7 leo itaonyeshwa kwenye majumba ya sinema duniani kote,Kama wewe ni mpenzi kweli wa filamu basi kaa mkao wa kula kuipata filamu hii muda wowote kuanzia sasa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)