Pages

Amiri Mganga akabidhiwa nakala ya kitabu cha dira na tumaini jipya


Mdau wa maendeleo wa wilaya za Handeni na Kilindi, mkoani Tanga, bwana Amiri Mganga, mwenye t-shirt nyekundu, akikabidhiwa nakala ya KITABU CHA DIRA NA TUMAINI JIPYA HANDENI, kilichoandikwa na Kambi Mbwana, kutoka kwa Msemaji wa Coastal Union, Assenga Oscar ambaye pia ni Mwandishi wa habari wa New Habari 2006 Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba, Bingwa na The African, leo jijini Tanga, Tanzania.


Kitabu hicho kinapatikana kwa Sh 3500 tu. Maeneo yanapopatikana kitabu hicho ni pamoja na Handeni Mjini kwa Ayubu Magazeti soko la zamani, Misima, Sindeni, Kwamatuku, Komsala, Korogwe, Tanga Mjini na Dar es Salaam. Kama unahitaji kitabu hicho wasiliana nasi kwa simu +255 712053949, kambimbwana@yahoo.com.Picha na Mpigapicha Wetu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)