Theo walcot
Mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot anasema kuwa hajakosana na meneja Arsene Wenger na kuongezea kwamba bado hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na kilabu hiyo.
Mkataba wa Walcot unakamilika mwaka 2016 na Wenger amesema kuwa anatarajia kuwa na mda mrefu wa makubaliano.
''Ripoti zinazosema nimekosana na kocha juu ya kandarasi ni upuzi mtupu'',alisema mchezaji huyo wa miaka 26.
Hatujaanza mazungumzo yoyote juu ya kandarasi yangu na lengo langu kuu ni kufanya vyema katika kilabu hii.bbc swahili
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)