Kontena likiwa limedondoka kwenye mtaro eneo la Kigogo Mwishoni mwa wiki mara baada ya gari lililokuwa limelibeba kufunga breki za ghafla na kupelekea loki zake kukatika na kuondoka na cabin yake.Mpaka mleta habari kwetu anaondoka eneo la tukio hakuna taarifa ya kujeruhiwa waka kupoteza maisha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)