Pages

Skylight band yaendelea kutoa burudani ni kila ijumaa

DSC_0157
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar... Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu... Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba.
DSC_0155
DSC_0075
Binti mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Meneja wa Band, Aneth Kushaba AK47 katika show yao ya Ijumaa iliyopita ndani ya koita cha Thai Village-Masaki.
DSC_0117
Sam Mapenzi akisikilizia Back Vocal kutoka kwa Mkali wa R&B John Music wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa maraha Thai Village Masaki.
DSC_0136
Mashabiki wa Skylight Band wakijinafasi kwenye dancing floor Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki jijini Dar.
DSC_0104
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47  akiwapa burudani mashabiki wa bendi hiyo huku akisindikizwa Ashura Kitenge.
DSC_0152
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya yao.
DSC_0108
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani.
DSC_0160
Mashabiki nao wakajibu mapigo.
DSC_0110
I’m looking for my Johnny……I’m looking for my honey…ya ya ya….you telling me this, you telling me that….I say this is not for me….Johnny do me corny….Johnny do me corny... si mwingine ni Aneth Kushaba AK47 sambamba na Ashura Kitenge.
DSC_0162
Wadau na mashabiki wa Skylight Band wakipata Ukodak ndani ya kiota cha Thai Village-Masaki jijini Dar.
DSC_0171
DSC_0181
Number one fans wa Skylight Band...hawa jamaa mpaka Mwanza watia maguu ni jinsi gani Band hii ilivyokuwa kwenye damu zao.
DSC_0183
Customer care katika pozi matata sana....
DSC_0187
Mdau wa kweli wa Skylight Band, Gerald Kilimo akipozi kwa Ukodak.
DSC_0190
Mdau wa Skylight Band, Gerald Kilimo (kushoto), Aneth Kushaba AK47 pamoja na @eddievied wakipata Ukodak. 
DSC_0193
Mdau Mulle na mratibu wa Skylight Band, Lubea wakiibia Ukodak.
DSC_0201
Aneth Kushaba AK47 akipata ukodak na shabiki wake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)