Pages

Papaa King Mollel wa Triple A Ltd akabidhi Pikipiki

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha shughuli za maendeleo katika kata ya KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro . Hafla hiyo ilifanyika leo Sakina jijini Arusha.
 Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akikabidhi kadi ya pikipiki hiyo kwa Mkuu huyo wa Wilaya.
Viongozi mbalimbali wa kata ya KIA wakishuhudia mkurugenzi mkuu wa Triple A LTD Papaking Mollel akimkabidhi pikipiki aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Novatus makunga kwa ajili ya kuchangia na kusaidia  shughuli za maendeleo ya kata ya KIA.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)