Pages

News Alert:Bweni la wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam kampasi ya Mabibo linaungua na moto muda huu

 Wanafunzi wa shahada mbalimbali waishio kwenye mabweni yaliyopo mabibo wakishuhudia moto ukiteketeza bweni katika hosteli hizo. Hosteli hizo ni za wanafunzi wa CHuo Kikuu cha Dar Es Salaam ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Moto ukiendelea kuunguza bweni hilo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)