Pages

News Alert:Basi la Majinja ladondokewa na kontena, watu 56 wahofiwa kupoteza maisha

Basi la Majinja likiwa limedondokewa na Kontena eneo la Changalawe Mafinga Mkoani Iringa.
Ajali ya kutisha imetokea muda si mrefu eneo la Changalawe Mafinga Basi la Majinja linalofanya safari zake kutoka Mbeya kuelekea Dar kuangukiwa na Kontena ambapo inahofiwa kuwa watu 56 wamepoteza maisha huku wanasemekana kupona katika ajali hiyo ni watu wawili.

Taarifa zaidi zitakujia muda si mrefu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)