Pages

News Alert: Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama ndani ya Chadema

Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe ambae awali alifungua kesi kwaajili ya kuzuia kuvuliwa uanachama wake huku mapema leo Mahakama ikitoa hukumu kwa Zitto Kushindwa kesi hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)