Pages

News Alert: Chadema yashinda Kesi iliyofunguliwa na Mh Zitto Kabwe

CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI....
Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.

Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za kesi.

Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)