Pages

Michuzi Media yarekodi kwa weledi wa hali ya juu kwenye Mnuso wa Bloggers

Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja
na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager
Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi
mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet
Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia
March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa
VODACOM TANZANIA (wadhaini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM na SERENA HOTEL. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)