Pages

Je wajua yetu ya leo ni kuhusiana na mashabiki wa timu ya Simba aka wekundu wa msimbazi.Jisome hapa

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana Mashabiki wa Simba Sports Club almaarufu kama wekundu wa Msimbazi.

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa asilimia kubwa ya mashabiki wa Timu ya Simba Sports Club almaarufu kama Wekundu wa Msimbazi wanashabikia pia Manchester United? 

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)