Pages

Je wajua yetu leo inahusu ujenzi wa Jengo la Pentagon...Ongeza maarifa hapa

Endelea kuongeza ujuzi na ufahamu kwa kusoma je wajua segment ambayo inakupa uelewa zaidi juu ya maswala mbalimbali ndani ya Dunia kupitia Mtandao wako namba moja Duniani wa Lukaza Blog.

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na ujenzi wa Jengo la Pentagon Marekani

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa ujenzi wa jengo la Pentagon lililopo Nchini Marekani ulianza tokea September 11, 1941?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)