Pages

Je wajua yetu leo inahusu kimshale kwenye mita ya kusomea ujazo wa mafuta kwenye gari lako..Ongeza uelewa hapa

Endelea kuongeza ujuzi na ufahamu kwa kusoma je wajua segment ambayo inakupa uelewa zaidi juu ya maswala mbalimbali ndani ya Dunia kupitia Mtandao wako namba moja Duniani wa Lukaza Blog.

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na kimshale kinachoonekana kwenye alama ya mita ya kusomea ujazo wa mafuta kwenye gari lako (Fuel 

gauges)  

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa kimshale kinachoonekana kwenye geji ya kusomea ujazo wa mafuta kwenye gari lako uonyesha upande wa tank la mafuta lilipo?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)