Pages

Je wajua kuhusiana na mahusiano ya Mtaa wa Vilakazi, Soweto na Nelson Mandela na Desmond Tutu?soma hapa

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na Mtaa uitwao Vilakazi uliopo Soweto Afrika Kusini.

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa Mtaa wa Vilakazi ndio mtaa pekee uliotoa washindi wawili wa tuzo za Noble ambao ni Hayati Nelson Mandela na Desmond Tutu?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)