Pages

It's friday and its on #tgif....Skylight

DSC_0292
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari huku waimbaji wenzake Sony Masamba (katikati) na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live
Come and experience good music from our young talented singers ‪#‎Aneth‬Kushaba ‪#‎John‬ music & ‪#‎Ashura‬ ‪#‎Sony‬ Masamba ‪#‎Sam‬ Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni ijumaa ya amsha amshaa# una kila sababu ya kusogea Thai village na bila kusahau Jumapili hii Escape1#

DSC_0285
Vijana wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kwa 'style' za aina yake.
DSC_0348
Mashabiki nao hawakubaki nyuma katika miondoko.
DSC_0329
Majembe ya Skylight Band yakijembeka ndani ya kiunga cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
DSC_0342
Twende sawa......
DSC_0311
Sam Mapenzi aki-'feel' ala za gitaa alipokuwa akifanya Kolabo na Aneth Kushaba AK47 ya wimbo wa Elani wa 'Kookoo' unaobamba kwenye chati za muziki nchini Kenya. Kushoto ni Ashura Kitenge akipiga back vocal.
DSC_0318
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village, Masaki jijini Dar.
DSC_0341
Ijumaa iliyopita alizaliwa binti mrembo sana Super Model, Neema Mbuya mdau mkubwa wa Skylight Band. Pichani akitoka kuimbiwa wimbo wa 'Happy Birthday' na bendi ya Skylight.
DSC_0333
Birthday Girl Super Model, Neema Mbuya na mashosti zake wakisheherekea sikukuu yake ya kuzaliwa iliyoangukia akiwa batani Skylight Band na ma-surprise kibao kunogesha siku yake.
DSC_0334
DSC_0336
Mmoja wa marafiki wa birthday girl akitaka kumwogesha na kinywaji.
DSC_0338
Mwanadada mrembo na mdau wa Skylight Band akipozi kwa Ukodak.....
DSC_0351
Aneth Kushaba AK47 akisebeneka na shabiki wake back stage.
DSC_0354
Mdau wa Skylight Band Mule mtoto wa Sinza kwa wajanja akipata ukodak na binti mrembo ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
DSC_0356
DSC_0306
Murembo figure namba nane....hapana chezea Skylight Band.
DSC_0305

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)