Pages

Basi la Princes muro lapata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo leo

Basi la Princes Muro likiwa limepata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo baada ya kupasuka tairi la mbele upande wa kushoto. Abiria walikuwa 52 ila sita ndio majeruhi. RPC Pwani athibitisha kutokea kwa hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)