Pages

Albino:Zaidi ya waganga 200 wakamatwa TZ

Mganga wa kienyeji nchini Tanzania
Zaidi ya waganga 200 wa kienyeji wamekamatwa nchini Tanzania katika juhudi za kusitisha mauaji ya Albino.
Maafisa wa polisi wamesema kuwa baadhi ya waliokamatwa walipatikana na ngozi za wanyama na dawa za kienyeji.
Albino pia wamepewa vifaa vya kupiga kamsa iwapo watashambuliwa.
Umoja wa mataifa unasema kuwa takriban albino wapatao billioni 76 wameuawa nchini Tanzania tangu mwaka 2000.
Vifaa vya waganga wa kienyeji nchini Tanzania
Vipande vya miili yao hutumika na waganga wa kienyeji kwa kuwa vinaaminika kuvuta bahati .
Rais Jakaya Kikwete ameelezea mauaji hayo kama aiabu kwa taifa.BBC Swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)