Pages

Waziri Nagu atembelea ofisi za TASAF

 Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Dokta Mary Nagu (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TASAF kushoto kwake ni mkurugenzi mtendaji wa TASAF Ladislau Mwamanga (mwenye suti  nyeusi).
 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akimtembeza Waziri wan chi Ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu katika jingo linalotumiwa kuhifadhi kumbukumbu za walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini.
 Waziri wa nchi ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu akzungumza na menejimenti ya TASAF katika ziara yake katika taasisi hiyo .


Karibu TASAF hivyo ndivyo anavyoelekea kusema mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Ladislaus Mwamanga  alipomkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu ambaye amefanya ziara ya kujitambulisha katika taasisi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)