Pages

Tamasha la Pasaka Mwaka huu litahusisha Michezo pia

34Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo. 35Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo 36Alex Msama akiwafafanulia zaidi waandishi wa habari katika mkutano huo 37Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua taarifa ya Bw. Alex Msama.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)