Pages

Rais Kikwete Ashiriki kuaga Mwili wa Mama Mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji
Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Masaki jijini Dar es
salaam leo walipofika kutoa heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi
Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni
Sefue wakiwa pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam leo.
Sehemu ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu
Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt
Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)