Pages

News Alert: Ndege ya Jeshi yaanguka Jijini Mwanza, rubani avunjika mguu

Muonekano wa ndege ya ndege ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao)
NDEGE ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika  wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.
Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka,  ikashindwa na kuanguka.
(HABARI: MWANDISHI WETU/GPL, MWANZA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)