Pages

News Alert: Msanii Mez B afariki Dunia.

Msanii kutoka kundi la Chemba Squard lenye maskani yake Mkoani Dodoma Moses Bushagama almaarfu kama MEZ B amefariki dunia leo saa nne asubuhi Mkoani Dodoma ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia.

Taarifa zaidi zitakujia kadri tunavyopata taarifa kutoka chanzo cha habari mkoani Dodoma.

Lukaza Blog inatoa pole kwa Familia, Ndugu jamaa na marafiki katika Kipindi hiki Kigumu 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)