Pages

Mafunzo ya Ukimwi mahala pa Kazi yafunguliwa leo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mratibu wa  ABCT, Ruth Gundula.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mratibu wa  ABCT, Ruth Gundula. 
 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Scania Tz, Doris Masengo (kulia0 akielezea jinsi wanavosaidia kutoa elimu kwa wafanyakazi ya mapambano dhidi ya Ukimwi katika kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Msaidizi wa  Scania, Kisali Mnyari.
 (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)