Pages

Leo Ndio siku ya Ibada ya Kumbukumbu ya Marehemu Philip Omari Justin itakayofanyika Hedaru Same

Marehemu Philip Justin Omari enzi za Uhai Wake
Leo ndio Siku ya Kumbukumbu ya Kutimiza miaka 5 toka kututoka kwake Ndugu yetu, Kaka yetu, rafiki yetu Philip Justin Omari ambaye alifariki dunia Mwaka 2010.

Misa ya Shukrani ya Kumbukumbu ya Marehemu Philip Justin Omari itafanyika leo nyumbani kwao Hedaru, Same Ukiwa kama Ndugu, Jamaa na marafiki unaombwa kushiriki katika ibada hiyo ya Kumbukumbu.

Mwenye Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amin

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)