Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na Busu, Kwa lugha ya Kiingereza inaitwa Kiss. Tumekuwa tukiwabusu wapenzi wetu lakini hatufahamu nini hutokea katika Miili yetu wakati tufanyavyo hivyo.
Sasa ya leo hii hapa Je wajua kuhusiana na busu yaani Kiss kwa lugha ya Kiingereza?
Je Wajua kuwa busu la dakika moja huunguza calories 26 katika Mwili wako?
Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.
Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)