Pages

Je wajua Kuhusiana na Mshumaa?Nimekuwekea hapa

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana mshumaa, Kwa lugha ya Kiingereza inaitwa Candle. 

Sasa ya leo hii hapa Je wajua kuwa asilimia 96 ya Mishumaa inayonunuliwa madukani ununuliwa na Wanawake?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)