Pages

Je wajua kuhusiana na maneno "STUDENTS COLLEGE" na "WANAFUNZI WA VYUO"? Basi nimekuwekea hapa.

Leo katika Je Wajua tunakuletea Kuhusiana na Maneno yenye maana sawa lakini yakiwa yameandikwa kwa lugha mbili tofauti yaani Kiingereza na Kiswahili, Pamoja na kuwa na maana sawa lakini maneno haya huleta majibu tofauti pale unapotaka kutafuta kwenye search engine ya Google.

Sasa ya leo hii hapa  Je Wajua kuwa Ukiandika neno Student College kwenye Google picha zinazotokea ni za wanafunzi lakini Ukiandika Wanafunzi wa Vyuo pia kwenye google zinatokea picha za ngono?

Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Lukaza Blog.

Lukaza Blog itaendelea kukujuza zaidi na zaidi usiache kutembelea Lukaza Blog kila saa kwaajili ya kujuzwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)