Pages

Hisia ndani ya VEVO

Mapema wiki iliyopita Soul singer Hisia kutoka Arusha ambaye amehit na nyimbo zake ambazo ni pamoja na Mawazo, Just For You na Gimme A Call amefanikiwa kujiunga na wasanii wachache ambao ni Gosby na Vanessa Mdee na kuwa Msanii wa tatu nchini Tanzania kuingia katika mtandao wa video wa kimataifa vevo, hii imekua nguvu kubwa na team effort kutoka kwa Hisia na manager wake John Blass ambaye anakua supported na team yake kutoka Fresh120Media, tumepata support kubwa sana kutoka nyumbani na baada ya kutoa Gimme A Call kumekua na mwamko mkubwa sana kutoka nje ya nchi, tunajipanga zaidi kutemngenezea vitu ambavyo vitawafurahisha fans wa Hisia popote walipo,tunajiandaa kutoa wimbo mpya hapa mwezi march.

Na hii ndio video yake Mpya Angalia hapa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)