Pages

SERENGETI FIESTA 2013 KIBOKO NDANI YA MJI WA MOSHI USIKU WA KUAMKIA LEO


 Msanii mkongwe katika anga ya muziki wa kizazi kipya,Dully Sykes akiwaimbisha mashabiki wake kibao waliofurika vilivyo ndani ya uwanja wa Majengo mjini Moshi ambapo tamasha la Serengeti fiesta linafanyika.
 Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,Menina akiimba kwa hisia jukwaani
 
 Mwanadada Linah akimpagawisha shabiki wake vilivyo jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Majengo mjini  Moshi.
 Sehemu ya umati wa watu kutoka mjini Moshi wakiwa kwenye tamasha la fiesta usiku ndani ya uwnaja wa Majnego.
 Mwanamuziki wa bongofleva kutoka THT,pichani kati Linah akicheza kwa madaha kabisa na madansa wake jukwaani usiku huu.
 Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,aitwaye Menina akiimba jukwaani na madansa wake.
Wasanii wanaounda kundi la Jambo Skwadi wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee kabisa usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta linalofanyika kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi. KWA PICHA ZAIDI LIVE INGIA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)