Pages

Rais Kikwete azindua mradi wa maji Njopeka


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan(JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Njopeka Wilayni Mkuranga,Mkoa wa Pwani jana.Mradi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzani na serikali ya Japan.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)