Pages

RAIS KIKWETE AONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA SIKU MOJA CHA VIONGOZI WA UMOJA WA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa MWandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika  Mhe. Mathias Chikawe na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi  Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa  Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 2013.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)