Pages

NAPE AZUNGUMZIA MSIMAMO WA CCM JUU YA MCHAKATO WA KATIBA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM-Lumumba Dar es Salaam. Alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yahusuyo Mchakato wa Katiba mpya na kusema "tunaheshimu tume,tunaimani nayo na tunaahidi ushirikiano wa kutosha katika mchakato wa Katiba".

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)