Pages

MWILI WA NDUGU YETU DANIEL AMBAKISYE KAMELE WAPUMZISHWA KWA AMANI LEO KATIKA MAKABURI YA TABATA SEGEREA

 
Gari likibeba mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele mara baada ya kumaliza misa ya kuombea Mwili wa Marehemu ambaye alifaliki kwa ugonjwa wa Malaria katika Hospitali ya Temeke juzi
 Gari lililokuwa limebeba mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likiwasili katika Makaburi ya tabata segerea Kwaajili ya kuupumzisha Mwili wa Marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele leo jioni katika Makaburi ya Tabata Segerea
 Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakati lilipowasili kwenye Makaburi ya Tabata Segerea Jioni ya leo kwaajili ya kuupumzisha mwili wa marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele
 Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likipelekwa Katika Kaburi lake kwaajili ya Kuupumzisha Mwili wa Marehemu katika Nyumba yake ya Milele leo jioni katika makaburi ya Tabata Segerea

Mchungaji wa Kanisa la Monrovian la Tabata Segerea Akitoa Neno kabla ya Mazishi ya kuupumzisha mwili wa marehemu Daniel Ambakisye Kamele

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likiingizwa katika nyumba yake ya milele leo jioni katika Makaburi ya Tabata  Segerea
Mke wa Marehemu Akiweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Mumewe Daniel Ambakisye Kamele uliopumzishwa leo katika Makaburi ya tabata Segerea

Mwakilishi wa Mama wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele akiweka udongo kwenye kaburi
 Mke wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele akiweka taji la Maua kwenye Kaburi la Marehemu mumewe Mara baada ya Mwili wa Marehemu kupumzishwa kwa Amani leo Katika Makaburi ya Tabata Segerea
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani Tabata Segerea Bw Samwel Binagi akiweka taji la Maua Katika Kaburi la Marehemu Daniel Ambakisye Kamele uliopumzishwa leo katika Makaburi ya Tabata Segerea

Baadhi ya Wakazi wa Segerea wakiwa kwenye makaburi ya Tabata Segerea Kwaajili ya Kumpumzisha Ndugu yetu Marehemu Daniel Ambakisye Kamele leo jioni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)