Pages

MARAFIKI WA MEMBE PAMOJA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWL NYERERE WATEMBELEA HOSPITALI YA KIGAMBONI NA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA KUWAFARIJI WAGONJWA

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Pamoja na Gropu ya Marafiki wa Membe wakiwa kwenye hospitali ya Kigamboni Hapo jana wakati walipoenda kutembelea wagonjwa na kufanya usafi wakati wakianzimisha Siku ya Mwl Nyerere Tanzania ambapo kitaifa Inafanyika tarehe 14 Oct 2013 Jumatatu ijayo
Kijana Alan Akiwa katika wodi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Kigamboni Wakati walipoenda kutembelea hospitali hiyo hapo jana na kujitolea kufanya Usafi ikiwa wanaazimisha Siku ya Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere kilichopo Kigamboni kwa Kushirikiana na Grupu la Marafiki wa Membe.
Baadhi ya Wazazi waliowapeleka Watoto wao kupata huduma za afya katika hospitali ya Kigamboni hapo jana wakati grupu la Marafiki wa Membe kwa kushirikiana na Wanafunzi wa Chuo Cha Mwl Nyerere wakati walipotembelea hospitali hiyo Kwa kufanya Usafi na kuwatembelea wagonjwa ikiwa wanaadhimisha siku ya Mwl Nyerere
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere kilichopo Kigamboni Jijini Dar wakifanya usafi katika mazingira ya Hospitali ya Kigamboni wakati walipoenda kutembelea hospitali hiyo kwaajili ya Kufanya usafi na kuwafariji wagonjwa ikiwa wanaadhimisha siku ya Mwl Nyerere Chuo hapo
 Baadhi ya wadau waliohudhuria katika kufanya usafi na kuwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Kigamboni hapo jana wakati wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Kwa kushirikiana na Marafiki wa Membe Wakiongozwa na Kijana Allan walipotembelea hospitali hiyo ikiwa wanaadhimisha Siku ya Mwl Nyerere
Baadhi ya wanafunzi na wadau waliojitolea kwenda kutembelea hospitali ya Kigamboni hapo jana 
Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere akitoa msaada wa Mche wa Sabuni kwa Mmoja wa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wodi ya wazazi iliyopo katika hospitali ya Kigamboni wakati wanafunzi wa chuo hiko pamoja na Marafiki wa Membe walipoenda kutembelea Hospitali hiyo kwa kufanya usafi na kuwafariji wagonjwa ikiwa wanaadhimisha siku ya Mwl Nyerere
Baadhi ya wanafunzi na Wadau wa Marafiki wa Mh Membe wakiwa wamebeba Mabango yenye ujumbe wakati walipotembelea hospitali ya Kigamboni Kwaajili ya Kufanya Usafi na kuwafariji wagonjwa hapo jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)