Pages

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT. SALMIN AMOUR, ABUU AMOUR, ALIYELAZWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mgonjwa Kaka wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour, Abuu Amour Juma (73) aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili, wakati alipomtembelea kumjilia hali jana hospitalini hapo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)