Pages

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA UZAZI WA MPANGO NA KUZINDUA KAMPENI YA NYOTA YA KIJANI, DAR ES SALAAM LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano
wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya 
Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea isanduku cha zana za uzazi wa mpango kutoka kwa Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Kulia ni Balozi wa Marie Stops Tanzania, Narietha Boniface, wakati alipotembelea katika  Mabanda la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi  wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taaluma wa
Shirika la Engender Health, Feddy Mwanga, wakati alipotembelea katika 
Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea kwenye Banda la
maonyesho la PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho 
katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
 Banda la PSI limesheheni
Picha ya pamoja ilipigwa.Source: FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)