Pages

MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WA SHULE YA SEKONDARI YA ST ANNE MARIE ILIYOPO MBEZI KWA MSUGULI YAFANA SANA HAPO JANA

 Baadhi ya wahitimu wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi kwa Msuguri wakati wa mahafali yao hapo jana
 Ukumbi ukiwa umesheheni Wahitimu wa kidato cha nne pamoja na wazazi wao waliokuja katika mahafali yao yaliyofanyika katika Shule hiyo hapo jana
Gasto Shao Mwanafunzi wa Kidato cha Nne na wenzie akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi Mh Abdallah Bulembo wakati wa mahafali ya Kidato  cha nne ya Shule ya St Anne Marie iliyopo Mbezi Kwa Msuguri hapo jana
 Wanafunzi wanaotarajia Kumaliza elimu ya Kidato cha Nne ya Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi Kwa Msuguri wakichukua vyeti kutoka kwa Mgeni rasmi Mh Abdallah Bulembo wakati wa mahafali yao yaliyofanyika jana katika Shule hiyo iliyopo Mbezi kwa Msuguri
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya St Anne Marie wakiwa kwenye nafasi zao huku wakingojea kukabidhiwa vyeti na mgeni rasmi Mh Abdallah Bulembo (hayupo pichani) wakati wa mahafali yao yaliyyofanyika jana katika Ukumbi wa Shule hiyo iliyopo Mbezi kwa Msuguri
 Baadhi ya Wanafunzi na Wageni waliofika katika shule ya St Anne Marie hapo jana wakati wa mahafali ya kidato cha nne
 Baadhi ya wanafunzi wa Nursery, Primary na Sekondari ya St anne Marie wakiwa nje ya Ukumbi wa Shule hiyo wakishuhudia mahafali ya wanafunzi wa Kidato Cha Nne wa Shule wakifanyiwa sherehe ya kuagwa kabla ya kufanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya sekondari ya Kidato Cha Nne Mapema mwezi ujao
 Gasto Shayo akimlisha keki mwanafunzi mwenzake wanaotarajia kuhitimu wote kidato cha nne katika shule ya St Anne Marie iliyopo mbezi kwa msuguri wakati wa mahafali yao yaliyofanyika hapo jana katika Shule hiyo.
 Gasto Shayo akimlisha Keki mdogo wake Martin Wakati wa mahafali ya Kidato cha nne yaliyofanyika katika Shule ya St Anne Marie iliyopo Mbezi Kwa MSuguri hapo jana
 Annastella Mchomvu (shangazi) akimpa taji la ua mwanae Gasto Shayo Wakati wa Mahafali ya Kidato cha nne yaliyofanyika katika shule ya St Anne Marie iliyopo Mbezi kwa msuguri hapo jana ambapo wanafunzi wa kidato cha nne wanatarajia kuanza kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya sekondari mapema mwezi ujao
Gasto Shayo (mwenye joho) akiwa na Ndugu zake wakati walipokwenda kuhudhuria mahafali yake yaliyofanyika hapo jana katika Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi kwa Msuguli.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)