Pages

JUST IN:NDEGE NDOGO YADONDOKA ENEO LA GONGO LA MBOTO MCHANA WA LEO

Ndege ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM ikiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani.Ndege hiyo ilikuwa na rubani 1 na mwanafunzi 1.
Source: ITV Tanzania
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)