Pages

JUST IN:MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA RADIO ONE UFO SARO APIGWA RISASI NA ANAYEDAIWA KUWA MCHUMBA WAKE

Taarifa zilizotufikia hivi punde na zilizosikika katika Mitandao ya Kijamii Asubuhi hii zinasema kuwa Mwandishi wa habari wa Kituo Cha Habari cha ITV na Radio One UFO SARO amepigwa risasi mbili na anayesemekana kuwa ni Mchumba Wake aliyekuwa akifanya Kazi Sudan Kupitia UN. Sababu ya Kupigwa Risasi yeye UFO SARO na Mama yake Mzazi Ufo Saro ambaye amepoteza maisha papo hapo ni ugomvi ambao haujajulikana na huku Aliyewapiga risasi UFO SARO pamoja na Mama yake Mzazi Ufo kujipiga risasi chini ya kidevu na kupoteza maisha papo hapo..

Hali ya UFO SARO Mpaka sasa haijulikani inaendelea vipi lakini Kadri tunavyozidi kuzipata habari  hizi tutazidi kuwajuza.
Source.ITV Breaking News

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)