Pages

Waziri DKT. Fenella akutana na Mtendaji Mkuu wa Standard Chartered Bank Tanzania

PIX01 (1)PIX03 (1) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara kulia akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika kuangalia namna ambavyo benki ya Standard Charterd Tanzania inaweza kushirikiana na Serikali kuwawezesha Vijana kukabiliana na changamoto za maisha.PIX02 (1)Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara kulia akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea afisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia kuhusu benki uwezeshaji wa Vijana kupitia Standard Chartered Bank Tanzania Limited. Picha Zote na Frank Shija -Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)