Pages

SAMSUNG YAJA NA MBINU MPYA YA KUEPUKA BIDHAA FEKI YA PROGRAMU YA E-WARRANT


  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili  kulia) akimpigia simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa kucheza droo kwa wateja wa kila mwezi wa bidhaa za kampuni hiyo,ambapo  mkazi wa Dar es Saalaam, Goodluck Mumvuri alijishindia.Kutoka kulia ni Kutoka kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari  Adam,Mwakilishi wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa  bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (katikati)  na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas wakionyesha simu mpya za  Galaxy Star ambazo ziligawiwa kwa wanahabari kwa njia ya kuchezesha droo ya bahati na sibu.Kushoto ni Mwakilishi wa Bahati nasibu ya  Taifa,Mrisho Milao.
  Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto)  akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo,Theopister Nzanzugwanko mara  baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy  Star.Katikati ni Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (kushoto)  akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Majira,Charles Lucas mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari kwa simu mpya ya Galaxy Star.Katikati ni  Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)