Pages

RAIS KIKWETE AWASILI BUKOBA, AKUTANA NA TAIFA STARS MWANZA, AWATAKIA USHINDI DHIDI YA UGANDA

 Jakaya Mrisho Kikwete akifungua jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013
mjini Bukoba.
 Picha ya Pamoja
Wakazi wa Kagera wakisalimiana na Mh Raisi Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars
aliokutana nao Uwanja wa ndege wa Mwanza leo Julai 24, 2013 wakati yeye
akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa  wanaelekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya  CHAN .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)