Pages

MAN U WAENDELEA NA MAZOEZI KATIKA UFUKWE WA BONDI

All at sea: The Manchester United squad had a training session at Bondi BeachMambo ya ufukweni: Kikosi cha Manchester United kimefanya mazoezi katika Ufukwe wa Bondi
Life's a beach: United players, left to right, Anderson, Robin van Persie, Rafael da Silva and Tom CleverleyMaisha ya bichi hayo: Wachezaji wa United , kushoto kuelekea kulia, Anderson, Robin van Persie, Rafael da Silva na Tom Cleverley 
Water a view: United manager David Moyes takes in the sights of Sydney Harbour on the way to Bondi BeachKocha wa United., David Moyes akipozi katika bandari ya  Sydney  kabla ya kupanda boti kuelekea  ufukwe wa  Bondi 
Resting: Ryan Giggs
New signing: Wilfried Zaha
 Mapumziko: Giggs, juu, na Wilfried Zaha chini wakipumzika ufukweni
Different venue: Phil Jones and Ben Amos arrive at Bondi Beach for trainingMajembe: Phil Jones na Ben Amos wakiwasili  ufukwe wa  Bondi kwa ajili ya mazoezi
Boat trip: Giggs in Sydney Harbour Kabla ya kupanda Boti: Lejendari Giggs akiwa katika bandari ya Sydney.
 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Mabingwa soka nchini England, klabu ya Manchester United leo hii imefanya mazoezi mazoezi ufukweni mwa bahari ambapo walisafiri kutoka bandari ya Sydney kwenda Ufukwe wa Bondi kwa njia ya boti.

Mazoezi hayo yamefanyika katika bichi ya Bondi kabla ya kukwea pipa kuelekea nchini Japan kuendelea na ziara ya ya kujianda na msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England.

Vijana hao wa David moyes watakuwa na mechi tano za kirafiki nchini Japan na jumanne ya kesho kutwa watashuka dimbani kucheza na Yokohama F-Marinos mjini Yokohama. 

Kufuatia ushindi wa mabao 5-1 walioupata jana dhidi ya  A-League All Stars ,  kikosi hicho leo asubuhi kimefanya mazoezi fukwe za  Bond.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)