Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini Nigeria
alikohudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana
na Ukimwi, Malaria na kifua kikuu ambapo aliwaambia wajumbe wa mkutano
huo kuwa Tanzania itafikia malengo ya Umoja wa Afrika iliyojiwekea
katika kukabiliana na Magonjwa hayo, mkutano huo ulimalizika jana July
17-2013 mjini Abuja Nchini Nigeria Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal
akipokelewa na baadhi ya viongiz wa serikali baada ya kuwasili uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Msafara wa Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib ukondoka
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam .
Makamu wa Rais ametokea nchini Nigeria alikohudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana na Ukimwi, Malaria na kifua kikuu. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)