Pages

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAGEREZA MKOANI MWANZA

photo1Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(Kaunda suti nyeusi) akimtambulisha Mhe. Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia kwa Jenerali Minja)Wakuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga na Mkoa wa Mara baada ya kuwasili mapema asubuhi  katika Uwanja wa ndege wa Mwanza tayari kwa Ziara ya Kikazi katika Magereza Mkoani Mwanza leo Julai 23, 2013 photo2Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(aliyepo kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo( aliyepo kulia) mapema leo Julai 23, 2013 alipofika ofisini kwake kuweka sahihi katika Kitabu cha Wageni(mwenye shati jeupe) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa
photo3Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Evarist Ndikilo(kushoto) akimsindikiza Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja( kulia) mapema leo Julai 23, 2013 alipomtembelea Ofsini kwake pamoja na kuweka sahihi katika Kitabu cha Wageni( Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)