Dereva
wa gari la JWTZ lililopata ajali katika eneo la Mwanakwerekwe wakati wa
wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari
Darfur akishushwa kwenye gari katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili
ya kupatiwa matibabu.
Wanajeshi
wakimshusha majeruhi wa ajali ya gari ya JWTZ iliotokea Mwanakwerekwe ,
katika hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. (Picha na Makame
Mshenga Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)